Tafuta/Search This Blog

Wednesday, March 3, 2010

DAR ES SALAAM ZOO. Jana nilitembelea Dar es Salaam Zoo. Ipo Kigamboni baada ya kijiji cha Kibada. ni kama Km 25 kutoka Dar town kupitia Kigamboni

Dar es Salaam Zoo.... Naamini wengi hatujui kama hata kuna Zoo hapa kwetu Bongo Dasalama. Nimepata nafasi ya kufika, hebu cheki alafu uniambie kama inaweza kuwa Dar. (Hapa ni getini)

Safari inaanza.. Hapo ni Enson (Kushoto), Suleiman (Katikati) na Rest (Kulia).
Suleiman ndio alikua mwenyeji wetu, nimtaalam wa udaktari wa mifugo, lakini amejitahidi kujua kwa kujisomea mengi sana kuhusu wanyama pori





Secretary bird... anaitwa hivyo kutokana na kuwa na kilemba cha manyoya kama secretary wa zamani walivyokua wakiweka kalamu hapa nyuma ya kichwa...



The Lion King. Simba huyu anaitwa ... na ana miaka kumi akiwa anaishi katika kifungo tofauti na wengine wanaozunguka huko porini

No comments: