Tafuta/Search This Blog

Wednesday, March 3, 2010

Zoo in Dar es Salaam

CHUI. Mh Leopard huyu tulimdhatau tulipomuona.... eti tunasema Mbona kadoooooogooooo.... Tuliambiwa huyo ni mkubwa sana na ana miaka mitano sasa. Ni myama hatari saaaana... ni jamii ya paka. hana aibu kama alivyo simba.
Hapa ni Ngorongoro, Bonde hili linafananishwa na view ya Bonde la Ngorongoro ile ya Arusha

Mamba. Hapa ni jinsi anavyoweza kupunguza joto la mwili. Mamba hana ulimi kama wanyama wengine. Ukiangalia vizuri utaona


Mbuni. Kilicho niacha hoi mimi ni kuwa MBUNI ni ndege anayetaga yai dogo kuliko ndege wote duniani. Ukichukua ukubwa wa mwili wake na ukubwa wa yai lake, inaonekana ana yai dogo sana kuliko ndege wengine wote.. (Interesting)



1 comment:

Anonymous said...

Lovely, inapendeza sana.