Tafuta/Search This Blog

Wednesday, March 3, 2010

JUMAPILI ILIYOPITA ILIKUA SIKU YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (WWK) KWA MAKANISA YA TAG Taifa Ona kwa uchache ilivyokua Kigogo TAG

Kwaya wa Wanawake Watumishi wa Kristo, walikua ndani ya RED, mandhari ya kanisa ilibadilishwa na mavazi yao mazuri
Mtunza MAPESA wa Idara hiyo akitoa taarifa ya Idara kwa mwaka mzima Huyu ni Mrs Bachunya
Kama kawaida Idara hii humtegemeza Mtumishi wa Mungu. hii ni moja ya malengo waliyojiwekea. Mch G Lwengo na Mama Happy Lwendo wakipokea zawadi kutoka kwa Wamama (WWK)

Maakuli yalikuepo... Imma anaonekana akifurahia chakula kilichopikwa mahsusi
kwa ajili ya siku hii ya WWK. Pozi safi la msosi

No comments: