Tafuta/Search This Blog

Monday, March 22, 2010

Unao muda na MUNGU??

NI kweli kwamba tuna mambo mengi sana na maisha yamekuwa magumu so tunatafuta sana kila siku. Lakini hebu tufike mahali na kujiuliza je tunapata nafasi ya kwenda mbele za Mungu na kumwabudu, kumsifu na pia kusikiliza neno lake?? Au tumekuwa wabinafsi sana kuasi cha kutokumpa Mungu nafasi hata kidogo. Kumbuka yeye ndiye kila kitu kwetu!











Ibada ya Jumapili jana, Calvary temple Arusha.

1 comment:

Anonymous said...

Ni kweli kabisa unavyosema kaka Gee.
Watu wengi (wakristo) tumekmatwa sana na kazi na masomo na biashara na mambo mengi sana ya dunia hii, tumejikuta tunamkimbilia Mungu pale tunapokuwa tunakutwa na matatizo, which is NOT right.

Mungu kwanza na hayo mengine tutazidishiwa.

Asante kwa reminder..