Tafuta/Search This Blog

Friday, March 5, 2010

KLM


Ndege hii huwa haionekani mitaa ya KIA mchana mchana. Huwa inakuja usiku na kuondoka usiku huo huo. Mwanzoni mwa wiki hii ilipata matatizo ikaahirisha safari yake. Tukapata nafasi ya kuiona mchana. Mvua ilikuwa imenyesha na nimependa huo muonekana wa ramani za maji ardhini!!

No comments: