Tafuta/Search This Blog

Saturday, April 10, 2010

Msosi msisimko!!


Lunch yangu jana!


Yaliyomo: Ugali, Dagaa, nyama ya kukaanga, spinach na parachichi. (pilipili kwa wiingiii)

3 comments:

Anonymous said...

Yummy!! Nautamani..

Anonymous said...

Inabidi umshukuru Mungu sana.....maisha yalivyo magumu kuweza kuwa na mchanganyiko huu ni jambo la faraja. Kijijini kwetu huo ni mlo wa watu watau tena , wakati wa Christmas!

Anonymous said...

UNAPENDA KULA SANA WEWE!