Tafuta/Search This Blog

Thursday, June 17, 2010

Janga la kitaifa!!

Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba lugha ya Kiingereza ni janga la kitaifa maana kwa kweli inatupeleka vibaya sana. Tunapenda sana kuitumia lakini tunatumia kile kinachoitwa "kiingereza cha ugoko!!"

Hii nimekutana nayo siku za karibuni...



Kwa mbele...



Nadhani alimaanisha YESU NI NGUVU au KWA NGUVU ZA YESU, nimeshindwa kuelewa!!



Kwa nyuma...



Nadhani alimaanisha NI MAOMBI PEKEE!




Hivi hakuna washauri kabla ya kuandika????

2 comments:

Anonymous said...

Gari liliandikwa linamilikiwa na nani? Chunguza...

shalom broz productions said...

Duh ndugu yanu huo ni mtihani mkubwa sana na sidhani kama itakuwa ni busara kuandika jina la mtu hapa bila kibali chake...anyway nikiliona tena nitajaribu kufanya uchunguzi!!