Tafuta/Search This Blog

Friday, June 18, 2010

Mapenzi popote

Hawa niliwakuta ubungo maziwa. Wamekaa kwa amani wakiongea...kweli mapenzi hayaogopi hata magari!!





Safi sana!

1 comment:

B2S said...

Wanasema mapenzi majani huota popote