Tafuta/Search This Blog

Sunday, August 29, 2010

Casual sunday - Calvary Temple

Katika kuumalizia mwezi wa kusifu na kuabudu mwaka huu, Calvary temple jumapili hii tumekuwa na ibada ya kusifu na kuabudu na tukiwa tumevaa casual ili kuwakaribisha wale ambao wangetamani kuja kanisani lakini wanafikiri kanisani ni sehemu ya mavazi maalum!!

Katika ibada hii tulipata nafasi ya kuabudu na kumsifu Mungu na watu kadhaa walitoa maisha yao kwa Bwana Yesu!!

Zifuatazo ni taswira za ibada hiyo:





1 comment:

Anonymous said...

Casual kumbe maana yake tshirt?ama?By the way inaonekana ilikuwa pouwa sana mwana Big Up kwenu wadau