Tafuta/Search This Blog

Tuesday, August 17, 2010

Hatimaye Mr&Mrs Mwakajila na mtoto mpya...

Matilda Mlay au Mrs Jojo Jose Mwakajila hatimaye amerejea tena baada ya kupata mtoto wake wa kwanza hivi karibuni. Hizi baadhi ya taswira alipokuja kutoa sadaka ya shukrani Calvary Temple Arusha jumapili iliyopita.




Mara...


Usishangae! Wakati mwingine furaha iliyozidi huelezewa na machozi!! Matilda akifuta machozi, mume wake akiwa "serious" na mama Ringo akiwa amembeba mtoto. What a moment!!
Its good to give thanks to the Lord!!



No comments: