Tafuta/Search This Blog

Thursday, August 26, 2010

Stanley na Jennifer ndani ya A-city!

Arusha tulipata ugeni wa kaka mkubwa Stanley Msami pamoja na mchumba wake Jeniffer ambao walikuwa katika ziara ya ukanda huu wa kaskazini mwa nchi ili kumtambulisha mke wake mtarajiwa. Familia ya kaka Gee ilibahatika kuwahost na kuwapa mausia ya kabla ya ndoa maana ni jambo la muhimu sana!!
Hizi ndio taswira zenyewe!

Stanley na Jennifer


kaka mkubwa na kaka mdogo!

Mrs Gee na Jennifer, mambo ya kupeana ujuzi!



Familia mbili pamoja!

Stanley na Jennifer wanatarajia kufunga ndoa yao mapema mwakani. Sisi SBP tunawatakia maandalizi mema katika kipindi hiki cha "kusubiri"

No comments: