Tafuta/Search This Blog

Friday, August 20, 2010

Mambo ya Azam FC


Ligi kuu ya Tanzania Bara inaanza rasmi tena wiki hii na timu zinaelekea katika vituo vyao. Timu ya Azam FC imekuja arusha kupambana na AFC ya hapa ambayo imepanda daraja msimu huu. Watapambana kesho katika uwanja wa sheikh Amri Abeid Karume. Leo nilikutana na wachezaji wa Azam FC wakiwa mtaani hapa Arusha na kwa kweli nilifurahia sana basi lao la ukweli. I wish kila timu ingekuwa na basi kama hili!!

No comments: