Tafuta/Search This Blog

Monday, August 30, 2010

Kigogo TAG yarindima. Kaka lao Fadhili atangaza nia.

EliFAdhili (Solomon) Haaamini kama ni yeye,... unajua kwa hawa wanaoruhusiwa kuoa mke mmoja inakuaga ni first experience... inaogopesha.
Catherine akiwa na sura ya kujiamini. Kuolewa raha wewe
Haya umati ukimpokea kwa shangwe Kaka Fadhili na kumpeleka mbele ya Mimbari ya Kanisa la TAG Kigogo
Wapambe wakifurahia. Amani Iddy Kitomari Kushoto na Joseph Mbunda (Maarufu Joseph Nyuki) Kulia
Anameremeta. Catty anameremeta,...

Pete.

Mkono wa pongezi

Maombezi ili uchumba ufikie NDOA. pasiwe na DOA

Baadae lilifanyika bonge la Party.

Watoto wa Uswahilini walibeba wali kwenye Mashati...

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana Elifadhili na Cathy.
All our blessings! Matilda Lwendo.