This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing! SBP ina wataalamu wafuatao: Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing. Godlove Lwendo - Graphic Designer. You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428 We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Wednesday, October 8, 2008
Tarehe 5 October 2008 ilikua sikukuu ya Vijana ktk makanisa ya TAG( Tanzania Assemblies of God) Pale Kigogo/Mburahati matukio kadhaa yalirekodiwa. Ona
Monday, October 6, 2008
SARAH'S CPA GRADUATION CEREMONY 04/10/2008
Haya ni matukio katika Picha katika Graduation Ceremon ya Dada Sarah. Ilifanyika tar 4 October 2008 pale Mhasibu House Dar es Salaam. Kwa wale wenyeji wa Jiji hili wanajua ni karibu kabisa na Maktaba Kuu.
Kitu ambacho kilishangaa wengi ni kile kitendo cha Dada Sarah kumaliza Masomo yake ndani ya Miaka Miwili tuuuuuuuuuuu. Kweli Hata mimi nilisahangaa kiasi hicho.
Niligundua Baadae baada yakutafiti kuwa Sarah humtegemea Mungu katika mambo yake na huo ulikua Msaada wa MUNGU Kwake.
Posts by Shalom Broz Productions.
Pictures by Eneza (Enson)

Mambo ya Sarah alipopata CPA yake Hapo Tar 4/Octoba/2008. Kizuri zaidi ametumia Miaka miwili tu Kumaliza CPA yake. Kwa kifupi anastahili Pongezi Kubwa
Angel na Mwansiti wakimpeleka kwa furaha Sara kufurahia vzr siku hiyo
Weeeee acha tu Mambo yaliku safi sana. Mtumishi wa Mungu Sarah alipopata CPA
Matukio mbalimbali Graduation Cecrmony ya SARAH
Sunday, October 5, 2008
Salamu za dada Firiana kutoka Ngorongoro
Dada Firiana, mdada wa KiAfrika kama anavyojitambulisha mwenyewe ametutumia picha hizi za safari yake ya Ngorongoro.
mapozi ya kimasai
crater
Picha hiyo nyingine ni ngorongoro kwa juu, ukiwa juu huoni wanyama chini mana ni mbali."
Sisi tunampongeza sana dada Firiana kwa kupenda kutembelea hifadhi zetu za Taifa na pia kwa kupenda kujivunia uAfrika wake. Big up sana dada!!

Thursday, October 2, 2008
Simon tunayemfahamu!
Huwezi amini kwamba jamaa woote wanaoonekana kwenye hiyo picha "bado wapowapo" kasoro Simon. (Duh Hadi Fadhili a.k.a Solo)
Picha hizi ni kwa hisani ya mwandishi wa kujitegemea na shemasi wa viti maalum ndg Elias S. Msuya ambaye pia ametahadharisha kwamba watu wenye macho ya mamba watapatwa na kilichompata Mtikila huko Tarime.
Subscribe to:
Posts (Atom)