Tafuta/Search This Blog

Friday, September 3, 2010

Mpya kutoka kwetu


Wapendwa wetu tunawaletea tena design mpya ya Tshirt ambazo tume design na kuprint wenyewe. Kama utapenda tshirt hizi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hizi; 0786055413, 0759598340 na 0756025428.
Barikiweni sana!

3 comments:

Anonymous said...

Wow nice, hongereni sana wapendwa! Mtafika mbani. Sisi tupo pamoja nanyi.

Anonymous said...

Hii ni safi sana.

Mary Damian said...

Kazi Nzuri Sana..Mungu Abariki Kazi Ya Mikono Yenu!