Tafuta/Search This Blog

Monday, September 13, 2010

Timothy na Asumpta wapata mtoto!!

Marafiki na wadau wakubwa wa blogu hii, dada Asumpta pamoja na mumewe Timothy hatimaye wamebarikiwa kupata mtoto wa kike!! Mungu amewabariki na mrembo ambaye wameamua kumuita ZOELINE! SBP Arusha ilipata nafasi ya kuwatembelea wadau hawa na kupata taswira zifuatazo!

Mama , baba na mtoto wao.

Kaka Gee na Mkewe wakimuadmire mtoto.

Asumpta na Timothy.
Hongereni sana Timothy na Asumpta, Mungu aendelee kuwazidisha siku zote!

1 comment:

Mary Damian said...

Hongereni Sana...Mungu Azidi Kuwalinda, Nawatakia Afya Njema!