Tafuta/Search This Blog

Monday, August 17, 2009

ARUSHA

Kijenge chini.

Impala hotel.

Naaz restaurant mjini kati.


NBC.

Inajieleza, maeneo ya metropole.



mbele ya sekondari ya Bondeni.


Ukumbi wa Metropole.



kituo cha vifodi cha metropole.





Mbele ya soko kuu.





Stendi kuu





mianzini.
Hii ni kwa wadau wote wa Arusha na hasa wale ambao hawajakuwepo Arusha kwa muda mrefu sasa. Hii ndio Arusha inavyoonekana sasa.



2 comments:

Anonymous said...

ASANTE UMENIKUMBUSHA ARUSHA SANA, NASHUKURU SANA.UKIPITA MITAA LEVOLOSI, MBAUDA,KILOMBERO SOKONI,SHULE YA MERU,NGARENARO,ARUSHA SEC,ARUSHA MERU,KITUO CHA POLISI NK,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,THANKSSSSSSSSSSSSSSSS

Anonymous said...

Dah nimefurahi san kwa kunionyesha nyumbani kwetu mianzini,
nipo dar huu mwaka wa pili nimefurahi sana jamani,
natamani likizo ifike haraha nirudi nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki
pia maene mengi ya arusha nimefurahi kupaona