Tafuta/Search This Blog

Thursday, August 13, 2009

Kitchen Party ya Martha Mashaka

Huyu ndie Martha Katika Pozi la Kitchen Party.... Shalom Broz tulikuepo
Miondoko ya Mikogo kulikabili jukwaa. Alifundwa bwana....



Alipoonekana anajua vitu vingi, na baada ya kufundishwa na kuonekana ameyashika mafunisho vizuri, alikabidhiwa vyombo ili akafanye kwa vitendo.

No comments: