Tafuta/Search This Blog

Monday, August 3, 2009

RC SACCOS YAZIDI KUPAA

Mwenyekiti wa RC Saccoss tawi la Dar es Salaam Mr Martin P. Kazillo (Pandisha) akiongea na wanachama na kujibu maswali katika mkutano wao mkuu wa tawi. Katibu wa kikao hicho Mrs Ester Merchades Macha akisoma minitis za kikao kilichopita
Mwenyekiti wa RC Saccos Taifa ambaye pia ni Mlezi wa tawi mama la Dar es Salaam akitoa salaam za makao makuu ya RC Saccos.


Wanachama wa RC Saccos waliohudhuria katika mkutano mkuu huo.
RC SACCOS ni chama cha kuweka na kukopa ambacho kimeanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) ili kuwaondoa washirika wake katika umaskini.
Chama hicho kimepiga hatua kubwa kimafanilio kwani kina matawi karibia mikoa yote Tanzania. Hivi karibuni watatoa gawiwo la faida.

No comments: