Tafuta/Search This Blog

Monday, August 10, 2009

Panapofuka moshi kuna moto!!

Nimekutana na hiki kifodi leo kinatoa Moshi hadi nikawa napata wasiwasi kwamba kitawaka saa yeyote. Hivi wanausalama kazi yao ni kuangalia bima tu na kula ...shwa??

Tafakari.
Chukua hatua.

No comments: