Tafuta/Search This Blog

Monday, August 10, 2009

Bomoa bomoa ya wenzetu, Usipime....


Mtu mmoja amenitumia hii akidai kuwa eti sisi tunaogopa magari ya bomoa bomoa hapa Bongo, kumbe ni cha mtoto sana. Mambo ni makubwa huko kwa wenzetu. Mimi ningekua huko nikiwekewa "X" hata vitu vya ndani sichukui. Kama mambo yenyewe ndio haya!!!!!

No comments: