Huyu mbwa anaitwa Bo, huyu sasa ndio mbwa wa Kaka Obama prezzoo wa USA. Kwa kuwa mke wa rais anaitwa first Lady na familia yake inatambulishwa kama first family kwahiyo huyu mbwa pia anatambulishwa kama FIRST DOG, yaani mbwa wa FIrst family au rais wa mbwa wengine woooote wa marekani!!Nimewakilisha!!
No comments:
Post a Comment