Tafuta/Search This Blog

Friday, November 20, 2009

Mlo wa Jumapili mchana


Nilipata nafasi ya kula chakula cha mchana cha jumapili katika hoteli ya kisasa ya Aquilline katika manispaa ya Arusha. Nikachagua kula wali na kuku wa mchuzi. Chakula kilichelewa kuletwa lakini kilikuwa kitamu kwa kweli na nilipenda walivyokiandaa.

2 comments:

Anonymous said...

Siyo siri SBP mmenitamanisha sana kwa hiki chakula, loh, nahisi kabisa nazi hapo yanukia japo ni picha tu!

shalom broz productions said...

Nazi ilikuwa imekolea, wenyewe wanaita tui bubu!! Karibu Arusha!!