Tafuta/Search This Blog

Wednesday, June 2, 2010

LEO HEDARU KESHO...?

Najua sababu zinazofanya Wananchi ambao tumezoea kuwapa jina la WENYE HASIRA kuvamia vituo au kuwaua watuhumiwa wa uhalifu... Sababu hizi hata Said Mwema anazijua. Sasa tutafika wapi katika haya? Nini kifanyike?

1 comment:

Anonymous said...

Kaka watanzania wamechoka maana kuna wanahukumiwa bila hatia na kunao wanaoachiwa wakiwa wahalifu na kunao wanaozea humu kwa kosa dogo la kuiba kuku na kunaoa walio uwa wakaachiwa kwa Pesa zao!!!Jua kuna mengi yatatokea wasubiri maana maisha ni magumu shs 10,000 km 250 hivi kweli tutafika?Nadhani hatufiki